Mbazigwa Hassan

Mbazigwa Hassan

Huyo mtangazaji wa tbc taifa,napenda utangazaji wake,kila kioindi anachotangaza nakipenda sana,hivi sasa anatangaza mkesha wa wahenga,nipo macho mpaka amalize
nilikuwa tbc usiku huu nimebadilisha stesheni kwenda clouds, hapo napo nimebadalisha nasikiliza radio one zinapigwa nyimbo za kina j melody, mario, harmo na hao wote wanaofanana nao, dj ni ziro. Saa kumi usiku nitarudi tbc mpaka alfajiri
 
Karibu
 
Nina redio mbili nimejaribu kusikiliza zote kwa wakati mmoja stesheni tofauti nasikia kelele tu nimeshindwa kubalansi usikivu, nimefunga moja, ngoja nirudi tbc kwa mbazigwa hassan nisikilize usiku wa wahenga
 
karibu
 
Huu mtindo wa redio kutangaza usiku kucha ni burudani kama usingizi ukikata, mchana hatuna muda wa kusikiliza redio. Tv ipo chumbani ila kuitazama kwa macho ya usingizi inaumiza, bora kusikiliza redio usiku huu mnene
 
nilikuwa tbc usiku huu nimebadilisha stesheni kwenda clouds, hapo napo nimebadalisha nasikiliza radio one zinapigwa nyimbo za kina j melody, mario, harmo na hao wote wanaofanana nao, dj ni ziro. Saa kumi usiku nitarudi tbc mpaka alfajiri
Nyinyi ni walinzi?
 
Nyinyi ni walinzi?
hapana, nipo getoni nimelala alone, usingizi umekata tangu saa sita, nimejilaza kitandani sina kazi ya kufamya, naingia mitandaoni kuperuzi huku nasikiliza redio. Usingizi utakuja alfajiri. Kuna nyakati huwa usingizi hukata usiku wa manane na hakuna kazi ya kufanya
 
Ok basi tusikilize miziki huku tunasoma nyuzi
 
Kama usingizi ukikata usiku wa manane na uko kitandani kazi ya kufanya ni kufungua internet kujisomea mambo huko na kufungua redio sauti ndogo. Tv hapana inaumiza macho ni mazito kutazama
 
Nina redio mbili nimejaribu kusikiliza zote kwa wakati mmoja stesheni tofauti nasikia kelele tu nimeshindwa kubalansi usikivu, nimefunga moja, ngoja nirudi tbc kwa mbazigwa hassan nisikilize usiku wa wahenga
Mimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO na usivyoamini Mimi mpaka marudio nasikiliza tena yaan nasikiliza na marudio nasikiliza na wakirudia tena namsikiliza utanishangaa
 
Mimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO
Mie pia huyo jamaa namfahamu toka akiwa kijana kule tabora alikuwa disco dancer mmoja hatari sana,wakati huo akiitea niger j,dah na jamaa alikula papuchi za wanafunzi balaa
 
Mimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO na usivyoamini Mimi mpaka marudio nasikiliza tena yaan nasikiliza na marudio nasikiliza na wakirudia tena namsikiliza utanishangaa
mi mwenyewe hufuatilia vipindi vyake vya uchambuzi wa muziki na wanamuziki, hasa vipindi vya usiku wa manane na alfajiri
 
Kuna kipindi cha TBC cha Farida Hassan kinaitwa muziki laini kinaruka usiku wa manane huwa nakifuatilia sana
 
Back
Top Bottom