anajua sana mambo ya muziki kama toni, g clef na mengine mengi, anajua wanamuziki wote duniani, miziki ya kila aina hadi ya injili na wanamuziki wake. Huyu jamaa ni hazina kubwa pale TBC kwa vipindi vya uchambuzi wa muzikiSafi jamaa alisoma shy bush high school enzi hizo,shule ilikuwa inafundisha muziki
nathani kipindi chake kinafuata baada ya hichi dakika chache zijazo saa kumi usiku huunakijua na huyo dada sauti yake nzuri sana
basi ntakuwa macho nimsikilize pianathani kipindi chake kinafuata baada ya hichi dakika chache zijazo saa kumi usiku huu
ukinywa maji utapata usingizi, labda unataka kulala, lala tu maana najua unachati huku umejilaza kitandaniNgoja ninywe maji sasa
hapana sitalala,nipo macho kabisa,nakunywa maji ya moto ambayo hayajachanganywa na kitu chochoteukinywa maji utapata usingizi, labda unataka kulala, lala tu maana najua unachati huku umejilaza kitandani
kipindi cha mbazingwa hassan kinafikia tamati muda umeisha, inasomwa taarifa ya habari kwa ufupi na kufikia mwisho, wimbo uliokuwa unapigwa unaendelea, huenda kwa leo hakuna kipindi cha farida hassan, ni mkesha wa wahenga hadi saa kumi na mojabasi ntakuwa macho nimsikilize pia
tusubiri tuone maana saa 11 ntaanza kuruka kamba mara 200kipindi cha mbazingwa hassan kinafikia tamati muda umeisha, inasomwa taarifa ya habari kwa ufupi na kufikia mwisho, wimbo uliokuwa unapigwa unaendelea, huenda kwa leo hakuna kipindi cha farida hassan, ni mkesha wa wahenga hadi saa kumi na moja
naona hiki kipindi cha mbazigwa hasani kitaenda mpaka saa kumi na moja, unapigwa wimbo sijui ni mbilia bell au shala mwana, hebu nifahamishe huo wimbo ni wa nani? Huwa sitofautishi sauti zaohapana sitalala,nipo macho kabisa,nakunywa maji ya moto ambayo hayajachanganywa na kitu chochote
nasikia piaNaona bolingo za harakaharaka zimeanza kupigwa
sasa embakassy inapigwaBolingo la dally kimoko la kiswahili na kilingala ndio linapigwa muda huu
Hapana hakuna ndio maana wameanzisha bongo fm ili nao wafanye kama hizo redio nyingine na ndiko dj manywele yupo hukoHivi huko TBC hakuna ma dj kama huku kwingine tunasikia dj zero, dj manywele, dj mafuvu, dj nicko truck ndio wanaotupigia miziki. huko tutasikia fundi mitambo wa zamu tu huku hatuwasikii mafundi mitambo ni madj tu. au tbc fundi mitambo ni dj?
kabisaHuu mkesha wa wahenga kwa leo fundi mitambo ni renatus kamuntu, kipindi ni kizuri, watoto wa 2000 hawaelewi burudani hii
kabisaKipindi kimeisha, kumekucha, unapigwa wimbo wa Taifa