Mbazigwa Hassan

Mbazigwa Hassan

Safi jamaa alisoma shy bush high school enzi hizo,shule ilikuwa inafundisha muziki
anajua sana mambo ya muziki kama toni, g clef na mengine mengi, anajua wanamuziki wote duniani, miziki ya kila aina hadi ya injili na wanamuziki wake. Huyu jamaa ni hazina kubwa pale TBC kwa vipindi vya uchambuzi wa muziki
 
ukinywa maji utapata usingizi, labda unataka kulala, lala tu maana najua unachati huku umejilaza kitandani
hapana sitalala,nipo macho kabisa,nakunywa maji ya moto ambayo hayajachanganywa na kitu chochote
 
basi ntakuwa macho nimsikilize pia
kipindi cha mbazingwa hassan kinafikia tamati muda umeisha, inasomwa taarifa ya habari kwa ufupi na kufikia mwisho, wimbo uliokuwa unapigwa unaendelea, huenda kwa leo hakuna kipindi cha farida hassan, ni mkesha wa wahenga hadi saa kumi na moja
 
tusubiri tuone maana saa 11 ntaanza kuruka kamba mara 200
 
hapana sitalala,nipo macho kabisa,nakunywa maji ya moto ambayo hayajachanganywa na kitu chochote
naona hiki kipindi cha mbazigwa hasani kitaenda mpaka saa kumi na moja, unapigwa wimbo sijui ni mbilia bell au shala mwana, hebu nifahamishe huo wimbo ni wa nani? Huwa sitofautishi sauti zao
 
Bolingo la dally kimoko la kiswahili na kilingala ndio linapigwa muda huu
 
Hivi huko TBC hakuna ma dj kama huku kwingine tunasikia dj zero, dj manywele, dj mafuvu, dj nicko truck ndio wanaotupigia miziki. huko tutasikia fundi mitambo wa zamu tu huku hatuwasikii mafundi mitambo ni madj tu. au tbc fundi mitambo ni dj?
 
Hapana hakuna ndio maana wameanzisha bongo fm ili nao wafanye kama hizo redio nyingine na ndiko dj manywele yupo huko
 
Huu mkesha wa wahenga kwa leo fundi mitambo ni renatus kamuntu, kipindi ni kizuri, watoto wa 2000 hawaelewi burudani hii
 
Kipindi kimeisha, kumekucha, unapigwa wimbo wa Taifa
 
Dah huyu mzee alikuwa ticha wetu wa CIVIC, Ni mwalimu pekee pale BENJAMIN alikuwa hafundishi kwa bakora na wanafunzi wakati anafundisha wanajazana mpaka mlangoni wanahama naye darasa alikuwa peace kinoma kwa wanafunzi!! , good storyteller yaani huchoki kumsikiliza, mpaka baadhi ya walimu walikuwa wanamchukia according to him, wanafunzi walikuwa wanafaulu Somo lake kwa kumpenda
 
Back
Top Bottom