Mbazigwa Hassan

Mbazigwa Hassan

Kasongo yeyee, mobai na ngai ndio wimbo unaopigwa muda huu saa tisa usiku wa wahenga, nime tune TBC kumsikiliya Mbazigwa Hassan
 
Unaonaje uzi wako wa Mbazigwa Hassan uungwe na uzi wa JF usiku wa manane?
 
sass mbazigwa anapiga wimbo wa the late nzaya nzayadio,ndukudi,huu wimbo niliusikia mwaka 1978
 
Back
Top Bottom