Mbege ifanywe pombe ya Taifa tu hakuna namna

Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa

Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah

Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa kistar yaani

Ni pombe nzuri sijapata kuona

Aliyevumbua hichi kinywaji ana nafasi yake huko mbinguni ni miongoni mwa burudani amaizing sana

Mbege shikamoo toka nimekuja Moshi nimesahau chai na majuisi na ni mbege tu na kushushia na bia baridi

Kiukweli maisha ya December Moshi ni maisha matamu sana aisee mimi sijui ingekuaje nisingezaliwa huu mkoa teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Mbege ni tamu sana, ni nzuri na bora kwa afya sijui kama nitakuja niache mbege!!
Aisee
 
Mimi nashauri gongo kwA sababu za upatikanaji, na value for money( chupa moja unalewa kabisa. Mbege unaweza maliza ndoo lkn bilabila
Tukiwa kidato cha 3.
Watu watatu tulikuwa tunakunywa kitoto ndoo, na darasani tunaingia vizuri tu.
Kifupi mbege kama mbege bila kuiboost na konyagi au Kvant huwa haileweshi.
 
Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa

Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah

Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa kistar yaani

Ni pombe nzuri sijapata kuona

Aliyevumbua hichi kinywaji ana nafasi yake huko mbinguni ni miongoni mwa burudani amaizing sana

Mbege shikamoo toka nimekuja Moshi nimesahau chai na majuisi na ni mbege tu na kushushia na bia baridi

Kiukweli maisha ya December Moshi ni maisha matamu sana aisee mimi sijui ingekuaje nisingezaliwa huu mkoa teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Mbege ni tamu sana, ni nzuri na bora kwa afya sijui kama nitakuja niache mbege!!
Makobaz umeyatupa wapi?
 
Back
Top Bottom