GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Je naweza kukupa namba ya Bibi yangu ili umpigie uongee naye maana huyu be yupo na uelewa Mkubwa katika kilimo cha mihogo maana yeye ni mkulima wa miaka mingi .Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.
Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.
Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja?
Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
Nenda Tari ukiliriguru watakupa mwongozoInayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.
Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.
Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja?
Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
πππJe naweza kukupa namba ya Bibi yangu ili umpigie uongee naye maana huyu be yupo na uelewa Mkubwa katika kilimo cha mihogo maana yeye ni mkulima wa miaka mingi .
Zipo Mbegu ambazo zinakomaa na kutoa Muhogo Kuanzia 6-Months na kuendelea.
πππNenda Tari ukiliriguru watakupa mwongozo