Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.

Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.

Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja?

Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
 
Je naweza kukupa namba ya Bibi yangu ili umpigie uongee naye maana huyu be yupo na uelewa Mkubwa katika kilimo cha mihogo maana yeye ni mkulima wa miaka mingi .

Zipo Mbegu ambazo zinakomaa na kutoa Muhogo Kuanzia 6-Months na kuendelea.
 
Nenda Tari ukiliriguru watakupa mwongozo
 
Je naweza kukupa namba ya Bibi yangu ili umpigie uongee naye maana huyu be yupo na uelewa Mkubwa katika kilimo cha mihogo maana yeye ni mkulima wa miaka mingi .

Zipo Mbegu ambazo zinakomaa na kutoa Muhogo Kuanzia 6-Months na kuendelea.
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom