Mbegu ninazotoa kila siku zinaniuma

Nna mimba yako mkuu
 
Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Hata mm hapa ndo nimekuelewa,pole sana mkuu,nenden wote wawili mkapime mjue ttz ni nn,kama ni kula vyakula vya kurutubisha mbegu ufanye,pia omba mungu Sanaa
 
Mkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganye

Wewe na mwenza wako mngeenda kupima afya zenu za uzazi tatizo lijulikane lipo wapi?

Je ulisjawahi kujaribu kwa mtu mwingine pia akashindwa kushika mimba?
Nmewahi kujaribu mkuu akatoa inaniuma
 
Kuwa na subira ila jaribu kuangalia Mwenza wako mzunguko ukoje, je 28, 30,32,35 maana kila mzunguko una siku zake
Mkuu mzunguko ni shida tu,haueleweki kila mwezi ni mabadiloko anaweza enda 21mwezi ujao 1,nilisha hesabu hzo siku mkuu nikachoka sasa akili imechoka
 
Punguza mawazo, relax na pia sk za kawaida pia ambazo hutegemei ndo unashangaa mtu kanasa...Mungu ni mwema atakupa wanao sk moja
 
Mkuu mzunguko ni shida tu,haueleweki kila mwezi ni mabadiloko anaweza enda 21mwezi ujao 1,nilisha hesabu hzo siku mkuu nikachoka sasa akili imechoka
Ulishawai enda hospital?????
 
andika vizur....mtoto utapata tu kaza kiuno hiko
 
Mkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganye

Wewe na mwenza wako mngeenda kupima afya zenu za uzazi tatizo lijulikane lipo wapi?

Je ulisjawahi kujaribu kwa mtu mwingine pia akashindwa kushika mimba?
Mkuu hahahah ungebadili avatar au
 
kipindi cha nyuma kabla ujaoa ulikuwa unapiga punyeto...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…