Wadau, naomba kufahamishwa, Je Mbegu ya Mnyama inayo weza/ku/sababisha Mimba, ni Sehemu ya viumbe hai au La? Kama ni Sehemu ya viumbe hai/hai, je katika Classification ya Viumbe hai, ina fall kwenye Group gani?
Asanteni...
Una hakika hii taarifa unayotafuta itakuwa na msaada kwako?
Naomba kufahamishwa, vyote unavyovijua ama taarifa zote unazozijua zina faida kwako? I want to know, for the Case of knowing.