S SMS Member Joined Feb 18, 2013 Posts 61 Reaction score 10 Jun 1, 2013 #1 Wadau wapi inapatikana mbegu nzuri ya nguruwe kwa ajili ya kufuga kwa dar?
M MalafyaleP Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 187 Reaction score 387 Jun 5, 2013 #2 Mi ninao kabla ya mikese morogoro.ni km150 kutoka dar.nna shamba huko nalima na kufuga.nilionao wana miezi2-3.unataka wa umri gani?nwaeza kukushauri pia
Mi ninao kabla ya mikese morogoro.ni km150 kutoka dar.nna shamba huko nalima na kufuga.nilionao wana miezi2-3.unataka wa umri gani?nwaeza kukushauri pia