Mbegu ya nguruwe

Mbegu ya nguruwe

SMS

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
61
Reaction score
10
Wadau wapi inapatikana mbegu nzuri ya nguruwe kwa ajili ya kufuga kwa dar?
 
Mi ninao kabla ya mikese morogoro.ni km150 kutoka dar.nna shamba huko nalima na kufuga.nilionao wana miezi2-3.unataka wa umri gani?nwaeza kukushauri pia
 
Back
Top Bottom