Hii mbegu iko vizuri kuanzia uzaaji wake mpaka ugumu wa tunda lake ,mbegu hii inaweza kulimwa masika au kiangazi japo masika inasumbuliwa sana na magonjwa pia zingatia kuilima eneo ambalo halina historia ya mnyauko..Kuhusu bei kwa moro na dar sijajua sababu mimi nachukua Arusha