Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu..Huko imesimamajeHii mbegu iko vizuri kuanzia uzaaji wake mpaka ugumu wa tunda lake ,mbegu hii inaweza kulimwa masika au kiangazi japo masika inasumbuliwa sana na magonjwa pia zingatia kuilima eneo ambalo halina historia ya mnyauko..Kuhusu bei kwa moro na dar sijajua sababu mimi nachukua Arusha