Kuna ndugu yetu mmoja wa kiume alikuja kutembea Ushongo
akamwacha mke wake shambani. Mke wake alikua ni mjamzito.
Then zilipofika siku za mwisho za uzito huo, akasema anarudi
Mama akamwambia: go wasy on her, si unajua siku za mwisho?
Yeye akajibu: hivi ndio naenda kuweka nywele na kucha sasa
Mi nikashangaa, ila nilikuja kuelewa baadae sana what he meant:
Mtoto haingii kwa siku moja. Mwanzo unaweka kichwa na kifua
Ukiendelea ku-do unaweka mikono na miguu, pua, vidole, sikio
and mwisho kabisa unamalizia kwa nywele kucha sasa (accessories)
Maybe not in that order, but that was the idea he has...nilishangaa
This, from an anthropological point of view has a strong symbolism:
It is the relation that your father has to your mother that makes you
If your father and your mother don't "get along" you wouldn't be.
huhuhuhuu