BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,913 May 10, 2017 #21 Ndo maana naziona kitaa shazii watu wazigombania watu wakishaambiwa mbana wanakua ka siafu,..
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 10, 2017 #22 BAK said: Umeshapaisha soko la maboga kwa kiasi kikubwa sana. Shuhudia yatakavyopanda bei! Kuliko hata bei ya unga na sukari. Click to expand... Kweli mkuu
BAK said: Umeshapaisha soko la maboga kwa kiasi kikubwa sana. Shuhudia yatakavyopanda bei! Kuliko hata bei ya unga na sukari. Click to expand... Kweli mkuu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 10, 2017 #23 Fekifeki said: Utaratibu wa kuzitumia tafadhali Click to expand... usiwaze nitaleta
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 10, 2017 #24 Fekifeki said: Utaratibu wa kuzitumia tafadhali Click to expand... Mkuu ni kuzikaanga tu ziwe kama karanga then unazitafuna au unazikausha then unaenda kuzisaga..unga wake unautumia kwenye chai, uji, au supu
Fekifeki said: Utaratibu wa kuzitumia tafadhali Click to expand... Mkuu ni kuzikaanga tu ziwe kama karanga then unazitafuna au unazikausha then unaenda kuzisaga..unga wake unautumia kwenye chai, uji, au supu