BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Ndo maana naziona kitaa shazii watu wazigombania watu wakishaambiwa mbana wanakua ka siafu,..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuUmeshapaisha soko la maboga kwa kiasi kikubwa sana. Shuhudia yatakavyopanda bei! Kuliko hata bei ya unga na sukari.
usiwaze nitaletaUtaratibu wa kuzitumia tafadhali
Mkuu ni kuzikaanga tu ziwe kama karanga then unazitafuna au unazikausha then unaenda kuzisaga..unga wake unautumia kwenye chai, uji, au supuUtaratibu wa kuzitumia tafadhali