Mbegu za mahindi zimeadimika

Mbegu za mahindi zimeadimika

Falsafa ya uongozi wa mama Samia ni hizo R 4 mojawapo ni mabadiliko.

Tena kama ni mkulima piga hiyo namba kuna mengi ya manufaa kwa wakulima, kuanzia ruzuku za pembejeo mpaka mikopo ya vifaa vya kisasa vya kilimo.
Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ?

Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED.
Na niko Ujiji Kigoma.
Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga.
 
Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ?

Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED.
Na niko Ujiji Kigoma.
Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga.
Hizo namba ni wizara ya kilimo huduma kwa wateja.

Wizara sasa inatowa huduma kwa simu pale unapoihitaji.

Wapi utapata ufumbuzi wa mambo ya kilimo zaidi ya wizara ya kilimo?

Tafadhali piga utuletee mrejesho.
 
Wakulima tunahitaji Mbegu za mahindi kwa wingi.
Zamseed. Tembo.
 
Tumieni mbegu za asili
Mbegu za Asili hazina tija kwa Kilimo Biashara.
Zinatoa Mavuno machache sana.
Hekari moja inaweza kutoa Gunia sio zaidi ya kumi.
Wakati Mbegu za kisasa inatoa Gunia hadi thelathini ukilima kwa Trekta na kuihudumia vizuri.
Na zina uzito mkubwa.
 
Back
Top Bottom