Mbegu za Mapapai kutoka Tanzania?

Mbegu za Mapapai kutoka Tanzania?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Wapendwa
Kwa muda sasa naona mbegu za Mapapai zilizoko sokoni, ni Malikia kutoka China tena kwa bei ya juu sana (around 15,000shs pct ndogo)
Ina maana sisi (TANZANIA) hatuna mbegu zetu mbadala zenye sifa mbalimbali ili mtu achague mwenyewe
Kuna mapapai yaliyoko sokoni kwa sasa, kwa nje ni mekundu ila ndani kiasi kikubwa ni meupe na sio matamu hata sijui ni mbegu gani???
Kwa nini tusiwe na mbegu zetu wenywe....Kuna mapapai flani yalikuwa yanaitwa ya Tanga, yalikuwa matamu sana ila naona sasa kama hayapo tena kwa wingi? sijui ndio mbegu za China zimechukua nafasi?...
Naona kama hii nayo ni Fursa!
 
Watanzania tupo brainwashed na vitu vya kizungu. Na wengi tunakale katabia ka kuwa na imani kuwa kitu cha bei ya juu ndyo bora.

Mimi nilishafanya majaribio. Nilipanda mipapai aina mbili. Mbegu za kwaida na Hybrid kutoka uko asia.

Mbegu za asili ziliota bila shida ila mbegu za hybrid kati ya 20..ni 5 ndyo ziliweza kufika urefu wa 1m. 3 zikashambuliwa na magonjwa na kudumaa. 2 ndyo zimeweka matunda. Mbegu ya asili nmeshakula papai kama6 wakati hybrid sijala hata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona mleta mada kuongelea "mzungu".

Hivi mnachosoma hamuelewi au ndiyo shule mlisomea ujinga?
 
Watanzania tupo brainwashed na vitu vya kizungu. Na wengi tunakale katabia ka kuwa na imani kuwa kitu cha bei ya juu ndyo bora.

Mimi nilishafanya majaribio. Nilipanda mipapai aina mbili. Mbegu za kwaida na Hybrid kutoka uko asia.

Mbegu za asili ziliota bila shida ila mbegu za hybrid kati ya 20..ni 5 ndyo ziliweza kufika urefu wa 1m. 3 zikashambuliwa na magonjwa na kudumaa. 2 ndyo zimeweka matunda. Mbegu ya asili nmeshakula papai kama6 wakati hybrid sijala hata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mleta uzi amekuambia ni Malikia kutoka China na si kwa MABEBERU
 
Back
Top Bottom