Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Wapendwa
Kwa muda sasa naona mbegu za Mapapai zilizoko sokoni, ni Malikia kutoka China tena kwa bei ya juu sana (around 15,000shs pct ndogo)
Ina maana sisi (TANZANIA) hatuna mbegu zetu mbadala zenye sifa mbalimbali ili mtu achague mwenyewe
Kuna mapapai yaliyoko sokoni kwa sasa, kwa nje ni mekundu ila ndani kiasi kikubwa ni meupe na sio matamu hata sijui ni mbegu gani???
Kwa nini tusiwe na mbegu zetu wenywe....Kuna mapapai flani yalikuwa yanaitwa ya Tanga, yalikuwa matamu sana ila naona sasa kama hayapo tena kwa wingi? sijui ndio mbegu za China zimechukua nafasi?...
Naona kama hii nayo ni Fursa!