Sijaona mleta mada kuongelea "mzungu".Watanzania tupo brainwashed na vitu vya kizungu. Na wengi tunakale katabia ka kuwa na imani kuwa kitu cha bei ya juu ndyo bora.
Mimi nilishafanya majaribio. Nilipanda mipapai aina mbili. Mbegu za kwaida na Hybrid kutoka uko asia.
Mbegu za asili ziliota bila shida ila mbegu za hybrid kati ya 20..ni 5 ndyo ziliweza kufika urefu wa 1m. 3 zikashambuliwa na magonjwa na kudumaa. 2 ndyo zimeweka matunda. Mbegu ya asili nmeshakula papai kama6 wakati hybrid sijala hata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una laanahivi hizo mbengu ndio zinasifa hizo au mapapai
nani anakula mbegu
Mwambie
Watanzania tupo brainwashed na vitu vya kizungu. Na wengi tunakale katabia ka kuwa na imani kuwa kitu cha bei ya juu ndyo bora.