Mbegu za michongoma

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Samahanini wajumbe ila nlikua naulizia sehemu wanauza mbegu za michongoma na bei yake ikoje?naweza kupata msaada wa contact za wauzaji
 
Ubungo kwenye mataa na kwenye vitalu wanavyouzia mauwa kandoni mwa barabara ndipo utapata,hata maduka ya mbegu zinauzwa
 
Kaka hiyo kitu achana nayo kabisa ina sumu mbaya sana jaribu bouganivillea[spelling sina uhakika]
 
Ina sumu miba yame kuna jamaa yangu amekatwa mguu sababu ya miba yake
 
achana na michongoma tafuta mibogavelia iko kama michongoma ila haina miba mirefu sana
 
itakua unaijua sina picha ntakupigia picha kesho ila ina toagamaua ya pink njano red na nyeupe
 
Huu uzi hizi mbegu nazihitaji nazipata vipi wakuu??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…