Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini madhara yake kiongozi!!Kaka hiyo kitu achana nayo kabisa ina sumu mbaya sana jaribu bouganivillea[spelling sina uhakika]
mkuu kwenye shamba la ekari tano nahitaji mbegu kiasi gani ya michongomaKilo moja TZS 10,000 ubungo mataa
mkuu ulipata?Samahanini wajumbe ila nlikua naulizia sehemu wanauza mbegu za michongoma na bei yake ikoje?naweza kupata msaada wa contact za wauzaji
Kilo moja sh ngapi?Kaka sijajua unahitaji kiwango gani ila nilipata pale kkoo sokoni mana wao wanauza kwa kilo
Zipo ubungo mpaka leo vijanaa wale wanauza.Wazee wa mbegu za michongoma toka muondoke hamtaki kurudi
Okay kumbe uko karibu mkuu,hamna tatizo basi ntawacheki.Zipo ubungo mpaka leo vijanaa wale wanauza.