Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

Kwa utaalam wako je kuna uwezekano wa kufanya maximization of output kwa zao kama maharage?
 
Kwa utaalam wako je kuna uwezekano wa kufanya maximization of output kwa zao kama maharage?
Maximization inawezekana kwenye kila zao. Mojawapo ya maximization techniques ni pamoja na kuzingatia nafasi za upandaji ili kuwa na mimea mingi shambani. Shida kubwa kwa wakulima wetu ni kupanda ovyo ovyo. Unakuta mtu anasema amelima eka 5 ila ukihesabu jumla ya mimea iliyo shambani ni sawa na eka moja.

Pili,panda mbegu bora. Huwezi ku maximize production km utalima mbegu zisizo bora.

Tatu,panda kwa wakati.

Nne palilia kwa wakati.

Nb. Mbolea za viwandani si lazima sana kwenye maharage, kwani maharage yana uwezo kufix Atmospheric Nitrogen into organic nitrogen. Kwa kifupi sana.
 
hapo kuna kitu nimejifunza
 
Gunia 40, inawezekana lakin sio kitu rahisi. Walioitengeneza hyo mbegu management walizofanya most of the time haziko sawa na ambazo wakulima wetu wanafanya. Hizo 40bags tunasema 'under favourable conditions' and while other factors remain constant.
 
Umesema mwenyewe si kitu rahisi lakini inawezekana. Hata Yesu alisema kwenda mbinguni si kitu rahisi rahisi lakini kwa mwenye bidii inawezekana. Mambo mazuri yote ndivyo yalivyo unahitaji bidii na juhudi ili kuyafikia.
 
Somo zuri sana ukizingatia pia tayari mvua zimeanza kunyesha. Vipi na aina hizi za mbegu "AMINIKA " ubora wake ikoje kwa wenye uzoefu nazo.
 
Somo zuri sana ukizingatia pia tayari mvua zimeanza kunyesha. Vipi na aina hizi za mbegu "AMINIKA " ubora wake ikoje kwa wenye uzoefu nazo.
Za kawaida tu hazina maajabu kivilee!
 
Vipi kwenye parizi naweza tumia dawa za kuua magugu??
 
Unaweza tu ila usiwe umechanganya na zao lingine.
 
Za kawaida tu hazina maajabu kivilee!
Chief vipi kuhusu na hizi mbegu SEED CO, ziko vizuri.!? Mfano nimeona hii TUMBILI SC 419 inatoa Hadi gunia 40 - 48 per Eka.. Na ni kwa muda mfupi sana Siku 75 - 90 unavuna..

Mawazo Yako yatanisaidia sana Chief..
 
Natumae mleta mada umepata miongozo...
 
Huyu hajawahi kulima mm nalima na kujaribu kufuata taratibu zote lakini hakuna kitu Kama hicho
 
Mkuu, tusaidie na ishu ya mbolea.
Ni mbolea zipi zinatumika kukuzia mahindi na zipi ni nzuri kwa ajiri ya kuzalishia mahindi.???
 
Je kwa ukanda wa Geita nataka kulima mahindi February hii ili nivume mwezi WA Tano,je mbegu ipi nitumie inatokomaa haraka nanitapata mavumo mengi
 
kumisbehave km vp? mm nimepanda dk9089 na kuna kam tatzo imechanua (mbelewele) lakn mahnd meng hayana watoto na yana siku 63?watalaam wa dk mje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…