DOKEZO Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini? Wauze GMO seeds

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa zilishafutika ndipo wao watachukua hizo mbegu za asili kuanza kulima na kutuuzia kwa bei hatari

Hapa ndipo ghala lenye mbegu zote za asili za mimiea yote duniani zipo hata mimea ya kijijini kwenu iliyopotea zipo hapo.Ni moja ya jengo lenye ulinzi mkali mno wa kijeshi duniani

View: https://youtu.be/3s9H2KP4opE?si=tbO5Xc3TuNfxH9iR
 
Mitano tena kwa mama
 
Nimeipata hii mahali nanukuu

"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).

Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.

Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.

Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.

Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.

Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.

Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...

Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."

Mwisho wa kunukuu

Say no to GMO
 
Hizo mbegu za asili utakazouziwa na wazungu utapanda wapi , ikiwa ardhi yote umeharibu kwa kuwekea mbolea kila mwaka?
Kwa taarifa yako, mzungu hahangaiki na mbegu zako anahangaika na ardhi yako kuhakikisha anaimaliza kama ilivyo ARV's.
 
Kitu najiuliza hiyo miti kama sio ya asili hapa duniani imetoka sayari gani ?
 
Hizo mbegu za asili utakazouziwa na wazungu utapanda wapi , ikiwa ardhi yote umeharibu kwa kuwekea mbolea kila mwaka?
Kwa taarifa yako, mzungu hahangaiki na mbegu zako anahangaika na ardhi yako kuhakikisha anaimaliza kama ilivyo ARV's.
Sahihi yetu itakuwa imeharibika kwa GMO wao watakuwa na yao ambayo iko vixuri watalima huko na kutuuxia kwa pesa za kigeni kwa pesa nyingi na sisi kugeuka kuwa food slaves wa wazungu

Wenzetu wanaangalia mambo yao miaka 200 ijayo sisi tunaangalia tu ka rushwa tutakakohongwa leo tukiwa wanasiasa na kuviweka vizazi vijavyo.kwenye matatizo mazito

Majeshi yetu yaangalie maeneo mengi mojawapo ni hilo la usalama wa chakula yaani food security ni sehemu ya kazi ya jeshi pia na nchi kuwa huru kwa chakula miaka 200 ijayo Wao majeshi yao yanalinda mbegu za asili na sisi tulinde tusiruhusu GMO at any cost
 
Hata Tanzania ina "ascentions" za mbegu huko.Na zipo salama.
Tuliza hasira!
 
Nimeipata hii mahali nanukuu

"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).

Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.

Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.

Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.

Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.

Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.

Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...

Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."

Mwisho wa kunukuu

Say no to GMO
Binafsi kwangu nimepanda miti ya matunda ya kienyeji tu, hayo mambo ya miti ya kisasa hata sipendelei kabisa.
 
Hata Tanzania ina "ascentions" za mbegu huko.Na zipo salama.
Tuliza hasira!
Sasa kwa nini kampeni za panda miti mnatuletea miti ya wazungu na wahindi kwa nini hamtupi miti ya asili ya eneo husika
Mbona hamna vitalu vya miti ya asili maeneo husika watu wapande hiyo kurudisha uoto wa asili wa eneo husika?

Mavitalu yenu ya miche ya miti ya kizungu na kihindi ya nini?
 
Embu fanya upembuzi hiyo ‘seed bank’ ina miaka mingapi kabla ya wewe kuona hiyo clip na kujijaza ujinga.

Tatizo letu waafrika ni sisi wenyewe, halafu matatizo yetu tunataka kuwapa wazungu.

Ukitoka hapo unaenda. msifia Mwigulu ambae kasababisha uhaba forex.

Tanzania ni nchi maskini, watu wanao exploit ni watu binafsi kwa ushamba.

Hakuna nchi tajiri duniani yenye shida na chochote kilichopo nchi maskini za east Africa.

Tatizo pekee la wazungu labda ni maua kutoka rift valley ya Kenya. Vinginevyo hatuna mahitaji muhimu katika uchumi wao.

Hakuna kitu mzungu anakosa huko kwengine duniani, bara la Africa halina impact kwenye uchumi wa dunia.

Tunajazana ujinga tu
 
Umeongea kitu cha msingi sana mkuu. Kuna kila sababu ya kuchukua tahadhari katika swala hili nyeti sanaa kwani katika mazingira tuliyonayo sasa ni muhimu kuwa na akiba ya kila kitu hasa Mbegu za Asili.
 
Unajua hata kuna aina ngapi ya ‘orchid flowers’, ambazo wazungu wanataka kutunza mbegu zake?

Hakuna mtu anashida na vyakula kwa nchi ambayo raia wake wana utapia mlo.
 
Back
Top Bottom