DOKEZO Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini? Wauze GMO seeds

DOKEZO Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini? Wauze GMO seeds

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa zilishafutika ndipo wao watachukua hizo mbegu za asili kuanza kulima na kutuuzia kwa bei hatari

Hapa ndipo ghala lenye mbegu zote za asili za mimiea yote duniani zipo hata mimea ya kijijini kwenu iliyopotea zipo hapo.Ni moja ya jengo lenye ulinzi mkali mno wa kijeshi duniani

View: https://youtu.be/3s9H2KP4opE?si=tbO5Xc3TuNfxH9iR

Mkuu kwani sie tumezuiwa kuanzisha ghala na kutunza?
 
Sasa kwa nini kampeni za panda miti mnatuletea miti ya wazungu na wahindi kwa nini hamtupi miti ya asili ya eneo husika
Mbona hamna vitalu vya miti ya asili maeneo husika watu wapande hiyo kurudisha uoto wa asili wa eneo husika?

Mavitalu yenu ya miche ya miti ya kizungu na kihindi ya nini?
Wewe ndio umeenda kwenye vitalu hivyo vya miti mwenyewe.
Ukienda kwenye ofisi za TFS wanauza mbegu na miche ya miti ya asili karibia yote.

Order seeds and seedlings​

All citizens and stakeholders can now shop for seeds and seedlings from the TFS stations and our social media pages listed below.
Instagram: treeseedstz
Facebook: TFS-Tree seed Production

TFS- Tree production station- Morogoro
Kihonda, 3 kms from Msamvu bus station
Dodoma Road,
PO Box 373 Morogoro,Tanzania
Phone: 0715 534 516, 0620 149 619
TFS- Tree production station- Iringa.
Kibwabwa, 3.7 Kms from Ipogoro Bus
Road to Mbeya
P.O Box 1121 Iringa
Phone: 0629282716/0715534 516/0620149619
Email: seed@tfs.go.tz
TFS- Tree production station - Lushoto
Road to Magamba near Tafori Research station
P.O Box 258, Lushoto
Phone: 0687328 799/0715534 516/0620149619
Email: seed@tfs.go.tz
TFS- Tree production station –Shinyanga
Old Shinyanga Road
P.O Box 167 Shinyanga
Phone: 0755945578/0715534516/0620149 169
Email: seed@tfs.go.tz

Hata miche ya matunda,unaweza ukaotesha mwenyewe kutoka kwenye mbegu na zikaota.
Wengi wa watanzania tunapenda shortcut!
 
Nimeipata hii mahali nanukuu

"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).

Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.

Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.

Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.

Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.

Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.

Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...

Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."

Mwisho wa kunukuu

Say no to GMO
SUA ishalogwa kitambo. unaambiwa ma professor wa pale wengi wao wamefungua bar hawana hata bwawa moja la samaki
 
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa zilishafutika ndipo wao watachukua hizo mbegu za asili kuanza kulima na kutuuzia kwa bei hatari

Hapa ndipo ghala lenye mbegu zote za asili za mimiea yote duniani zipo hata mimea ya kijijini kwenu iliyopotea zipo hapo.Ni moja ya jengo lenye ulinzi mkali mno wa kijeshi duniani

View: https://youtu.be/3s9H2KP4opE?si=tbO5Xc3TuNfxH9iR

Hapo hata wewe unaruhusiwa kuhifadhi Mbegu za mazao kwa ajili ya matumizi ya baadae ( Hata miaka 100 ijayo).

Hapo nimeona mbegu kutoka mataifa tofauti hadi baadhi ya Nchi za Africa zina mabox ya mbegu hapo.
 
Wewe ndio umeenda kwenye vitalu hivyo vya miti mwenyewe.
Ukienda kwenye ofisi za TFS wanauza mbegu na miche ya miti ya asili karibia yote.

Order seeds and seedlings

All citizens and stakeholders can now shop for seeds and seedlings from the TFS stations and our social media pages listed below.
Instagram: treeseedstz
Facebook: TFS-Tree seed Production

TFS- Tree production station- Morogoro
Kihonda, 3 kms from Msamvu bus station
Dodoma Road,
PO Box 373 Morogoro,Tanzania
Phone: 0715 534 516, 0620 149 619
TFS- Tree production station- Iringa.
Kibwabwa, 3.7 Kms from Ipogoro Bus
Road to Mbeya
P.O Box 1121 Iringa
Phone: 0629282716/0715534 516/0620149619
Email: seed@tfs.go.tz
TFS- Tree production station - Lushoto
Road to Magamba near Tafori Research station
P.O Box 258, Lushoto
Phone: 0687328 799/0715534 516/0620149619
Email: seed@tfs.go.tz
TFS- Tree production station –Shinyanga
Old Shinyanga Road
P.O Box 167 Shinyanga
Phone: 0755945578/0715534516/0620149 169
Email: seed@tfs.go.tz

Hata miche ya matunda,unaweza ukaotesha mwenyewe kutoka kwenye mbegu na zikaota.
Wengi wa watanzania tunapenda shortcut!
Wajiongeze na wao wahamasishe upandaji miti ya asili wajenge hoja hata serikalini wawe na vitalu vya miti ya asili nchi nzima na kampeni zao ziwe za kupanda miti ya asili eneo husika siyo hiyo miti koloni ya kibwege

TFS kuna kampeni zao za kupanda miti wanaongoza kwa kupeleka miti ya kikoloni ambayo sio miti ya asili ya eneo husika

Hizo kampeni zao za kupanda miti ambayo sio ya asili ya eneo husika zipungue sasa wahimize upandaji miti ya asili ili uoto wa asili urudui,wanyama na ndege na wadudu wa asili wa eneo husika warudi na vingine vya asili kama uyoga wa asili,mchwa wa asili nk warudi

Kampeni za miti koloni kampeni zake zimetosha sasa turudishe uoto wa asili kila eneo husika na TFS wachukue leading role kwenye hili .Nina uhakika wakijenga hoja vizuri serikali huo mradi itawapa support na pesa kibao kuutekeleza

Na izuiwe kama ilivyo eswatini kuwa kukata mti wa asili lazima kibali raisi ndie atoe kulinda miti ya asili.kama ilivyo kule kuwa kukata mti wa asili hata kama uko nyumbani kwako mfalme Mswatti ndiye lazima asaini ukatwe

Hili jambo ni zito na TFS mnatakiwa kuwa very serious. Sehemu yeyote mkienda kampeni ya kupanda miti pelekeni ile ya asili ya mahali husika

Soko lote la miti ya asili nchi nzima shikeni nyie na pesa ombeni serikalini muanzishe vitalu muuzie hata NGO za mazingira zilizojikita kwenye kurejesha uoto wa asili

Jitanueni nchi mikoa yote kwa makerting kuwa mnauza miche ya miti ya asili ongeeni na wakuu wa mikoa,wilaya nk na waziri wenu awapromote kwenye hili

Huo mradi kama mlikuwa hamna wa kupanda miti ya asil uanzisheni tena uwe kitengo kikubwa sana baada ya cha uhifadhi misitu
 
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa zilishafutika ndipo wao watachukua hizo mbegu za asili kuanza kulima na kutuuzia kwa bei hatari

Hapa ndipo ghala lenye mbegu zote za asili za mimiea yote duniani zipo hata mimea ya kijijini kwenu iliyopotea zipo hapo.Ni moja ya jengo lenye ulinzi mkali mno wa kijeshi duniani

View: https://youtu.be/3s9H2KP4opE?si=tbO5Xc3TuNfxH9iR

Huwezi ilisha dunia ya leo kwa mbegu zile za asili,mnatombana sana mmezaana kama viwavi,mbegu modified ya mpunga toka serikalini inatoa gunia 40,ya asili gunia 20-25,2012 tulikua 50m,2022 65m
 
Wanaweza ushirikina na mapenzi pekee

Kule Bukoba nyumbani kulikuwa na migomba inaitwa FIA

Hii migomba ilikuwa imported

Mwaka 2005 Babu yangu alipanda migomba hii

Niseme hii migomba ilifuta tatizo la njaa Kwa 90%

Hivyo yawezekana hawa wanaopinga hizi mbegu wakawa sahihi Ila pia watazame haya mambo kwa uchanya

Hii migomba MTU yoyote ambaye yupo Bukoba ukimuuliza atakuambia jinsi ilivyo na kuhusu madhara hamna madhara yoyote
 
Njaa kwa Tanzania ni dili za wakubwa, hukuona tatizo la sukari liligeukwa kuwa fursa Waziri na mafisadi wenzake wakatajirika kupita kiasi
 
Unajua hata kuna aina ngapi ya ‘orchid flowers’, ambazo wazungu wanataka kutunza mbegu zake?

Hakuna mtu anashida na vyakula kwa nchi ambayo raia wake wana utapia mlo.
Unapinga nini sasa, unafahamu mbolea zenyewe za kizungu zikishatumika tu mara 1 hakuna zao lolote la asili litalopandwa kwenye hiyo ardhi likaota upya/tena?
 
Nimeipata hii mahali nanukuu

"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).

Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.

Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.

Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.

Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.

Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.

Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...

Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."

Mwisho wa kunukuu

Say no to GMO
Well said wells said well said congratulations umenitoa tongotongo
 
Unapinga nini sasa, unafahamu mbolea zenyewe za kizungu zikishatumika tu mara 1 hakuna zao lolote la asili litalopandwa kwenye hiyo ardhi likaota na upya/tena?
Ndugu kuna aina luluki za ‘orchids’ duniani let alone grains.

Ukiachana na hiyo video fupi ya kwenye hii mada, BBC washawahi kuonyesha documentary ya hiyo ‘seed bank’ na aina ya mbegu zilizomo humo (karibu ya kila mmea na chakula duniani).

Kama ni mtu wa kuamini conspiracies ukiona walichoweka kwenye hiyo ‘seed bank’, sababu zilizofanya wachague hiyo location (hilo eneo lipo chini mlima), halafu lina ulinzi mkali.

Unaweza baki jiuliza au kuna siku isiyo mbali duniani tutakufa wote wachache watakaobaki wanajua waanze vipi ndio msingi wa ‘seed bank’,

Maana hata hiyo storage ndani ni kubwa, ina temperature regulations na mambo luluki ambayo ukisikiliza hadithi yake kwenye documentary unabaki na maswali kuliko majibu,

Hakuna mtu anashida na chakula cha waafrica huko kwengine duniani, sisi wenyewe hatuwezi jilisha.
 
Majeshi yetu yaangalie maeneo mengi mojawapo ni hilo la usalama wa chakula yaani food security ni sehemu ya kazi ya jeshi pia na nchi kuwa huru kwa chakula miaka 200 ijayo Wao majeshi yao yanalinda mbegu za asili na sisi tulinde tusiruhusu GMO at any cost
Mchujo wa mules unatakiwa katika vitengo vyote..!
 
Back
Top Bottom