Mitano tena kwa mamaMbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa zilishafutika ndipo wao watachukua hizo mbegu za asili kuanza kulima na kutuuzia kwa bei hatari
Hapa ndipo ghala lenye mbegu zote za asili za mimiea yote duniani zipo hata mimea ya kijijini kwenu iliyopotea zipo hapo.Ni moja ya jengo lenye ulinzi mkali mno wa kijeshi duniani
View: https://youtu.be/3s9H2KP4opE?si=tbO5Xc3TuNfxH9iR
Wanaweza ushirikina na mapenzi pekeeJangwa la Sahara hakuna kitu wanaweza .
Kitu najiuliza hiyo miti kama sio ya asili hapa duniani imetoka sayari gani ?Nimeipata hii mahali nanukuu
"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).
Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.
Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.
Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.
Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.
Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.
Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...
Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."
Mwisho wa kunukuu
Say no to GMO
Sahihi yetu itakuwa imeharibika kwa GMO wao watakuwa na yao ambayo iko vixuri watalima huko na kutuuxia kwa pesa za kigeni kwa pesa nyingi na sisi kugeuka kuwa food slaves wa wazunguHizo mbegu za asili utakazouziwa na wazungu utapanda wapi , ikiwa ardhi yote umeharibu kwa kuwekea mbolea kila mwaka?
Kwa taarifa yako, mzungu hahangaiki na mbegu zako anahangaika na ardhi yako kuhakikisha anaimaliza kama ilivyo ARV's.
Yani Niggaz mtu wa ajabu sana.Kitu najiuliza hiyo miti kama sio ya asili hapa duniani imetoka sayari gani ?
Mimi nimeuliza tu yawezekana chimbuko lake bado ikawa ni material za hapa duniani tu.Yani Niggaz mtu wa ajabu sana.
Binafsi kwangu nimepanda miti ya matunda ya kienyeji tu, hayo mambo ya miti ya kisasa hata sipendelei kabisa.Nimeipata hii mahali nanukuu
"Yaani Leo sijawahi panda hasira kama leo.Kila ukienda vitalu vya miti unapata miti ya kizungu (miti koloni).
Nilikuwa kwenye daladala kijana mmoja akasema hii miti imported inafukuza hadi viumbe vya asili wakiwemo wadudu,ndege na wanyama.
Akauliza ulishawahi ona ndege yoyote wa Tanzania anajenga kiota kwenye mti wa Muarobaini,muashoki au mkaratusi au mti ulaya? Nikasema hapana.Akasema wao pia hawataki ukoloni wameisusa.
Wamehamia nchi zingine za kiafrika ambazo hazijakaribisha miti koloni kwenye nchi zao.
Nimefyeka miashoki yote nyumbani kwangu kwa Hasira ujinga mtupu.Akasema tukitaka ndege wa zamani warudi ,wanyama wa asili wa maeneo husika warudi lazima uoto wa asili urudi kuanzia majani ,miti nk . Ndipo wanyama,wadudu wa asili na hali ya hewa ya asili itarudi.
Rais kama hawawezi kutupa vitalu vya miti ya asili na majani ya asili ya maeneo husika naomba Rais fukuza wafanyakazi wote wa wizara ya kilimo na Mali ya asili , Mazingira na vyuo vya kilimo ikiwemo chuo kikuu Cha kilimo Cha SUA fukuza wote.
Tuna miti ambayo hakuna ndege anaiheshimu hata kujenga kiota.Miti gani hii? Hata kunguru maruhuni mkubwa hataki kujenga kiota.Looo...
Rais anzisha kampeni ya kufyeka miti yote ya kikoloni tu replace na yetu ya asili."
Mwisho wa kunukuu
Say no to GMO
Sasa kwa nini kampeni za panda miti mnatuletea miti ya wazungu na wahindi kwa nini hamtupi miti ya asili ya eneo husikaHata Tanzania ina "ascentions" za mbegu huko.Na zipo salama.
Tuliza hasira!
UbarikiweBinafsi kwangu nimepanda miti ya matunda ya kienyeji tu, hayo mambo ya miti ya kisasa hata sipendelei kabisa.
Unajua hata kuna aina ngapi ya ‘orchid flowers’, ambazo wazungu wanataka kutunza mbegu zake?Umeongea kitu cha msingi sana mkuu. Kuna kila sababu ya kuchukua tahadhari katika swala hili nyeti sanaa kwani katika mazingira tuliyonayo sasa ni muhimu kuwa na akiba ya kila kitu hasa Mbegu za Asili.