F Farry Kazumary Jr Member Joined Feb 27, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Jun 21, 2014 #1 Wanajamii forum napenda kuwaulizeni.inamaana kuwa humu ndani hakuna anae ifahamu vizuri MBEKENYERA SEKONDARI kama yupo namuomba anisaidie kunipa taarifa za hiyo shule hususani kwenye masuala ya kitaaluma. Asanteni.
Wanajamii forum napenda kuwaulizeni.inamaana kuwa humu ndani hakuna anae ifahamu vizuri MBEKENYERA SEKONDARI kama yupo namuomba anisaidie kunipa taarifa za hiyo shule hususani kwenye masuala ya kitaaluma. Asanteni.