Farry Kazumary Jr
Member
- Feb 27, 2014
- 13
- 1
Wanajamii forum napenda kuwaulizeni.inamaana kuwa humu ndani hakuna anae ifahamu vizuri MBEKENYERA SEKONDARI kama yupo namuomba anisaidie kunipa taarifa za hiyo shule hususani kwenye masuala ya kitaaluma.
Asanteni.
Asanteni.