Mbele kwa mbele, shughuli ya wazalendo wa Ukraine inaelekea Luhansk - zege hailali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea.....
Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote.

Vijana wa Kiafrika mna la kujifunza.

======

MOSCOW, Sept 14 (Reuters) - The frontline in eastern Ukraine is approaching the borders of territory claimed by the separatist Luhansk People's Republic (LPR), a senior Russian-backed LPR military commander told the TASS news agency on Wednesday.

Russian forces have seized control of the entire LPR - one of two regions that make up Ukraine's eastern Donbas region - since first entering Ukraine on Feb. 24 with a stated aim of wresting the entire Donbas from Kyiv's control.

But a lightning Ukrainian counteroffensive over the last week has driven Russian forces back and is bringing the new frontline closer to the LPR's self-proclaimed borders, commander Andrey Marochko said on Wednesday.

Hizi story za kusadikika wanajuana wenyewe watoto wa baba mmoja hao..
 
Kwa namna yoyote ile urusi hii vita ilikuwa ni lazima washindwe kwa sababu walishindwa kuwafafanulia wanajeshi wao neno la operesheni ndogo ya kijeshi.

Kwa sababu tukiangalia historia za operesheni za kijeshi zilowahi kufanywa na nchi nyingine kama Marekani ya kumuua Osama lilikuwa ni swala liloandaliwa kwa muda mrefu lakini operesheni yake ilikuja kufanyika ndani ya dakika chache sana.

hata izraeli ile operesheni yao ya kule Uganda ya kuwakomboa mateka ilichukua dakika chache sana na inamaana ktk ule muda wangezidi kidogo tu inamaana operesheni zao zingeshindikana.

Kwenye karate kuna viwango ukifika ni kosa kupigana na adui zaidi ya sekunde 45.

Na wanasema ukiwa kwenye mapambano ukipoteza hata sekunde moja basi jua umepoteza pointi nyingi sana.
 
Leo mnawaita wa baba mmoja, ila Putin alipoanza kuparamia Kyev mlishabikia...sasa imeshindikana mumeanza lugha za heshima, na mpaka Crimea ikombolewe ndio mambo ya undugu yakumbukwe.
Wanajuana wenyewe hao ni ndugu, kaka kumpiga mdogo ake makonzi na kumfunza adabu sio vibaya akimpelekea moto zaidi mtalia na kusaga meno acheni uchochezi akiamua kufanya dhambi kubwa watasambalatishwa wengi mkionewa huruma midomo inawatoka mkibutuliwa midomo inawatoka.. hao ni ndugu wanajuana wenyewe.
 
Wanajuana wenyewe hao ni ndugu, kaka kumpiga mdogo ake makonzi na kumfunza adabu sio vibaya akimpelekea moto zaidi mtalia na kusaga meno acheni uchochezi akiamua kufanya dhambi kubwa watasambalatishwa wengi mkionewa huruma midomo inawatoka mkibutuliwa midomo inawatoka.. hao ni ndugu wanajuana wenyewe

Sasa huyo kaka anapokea za uso mpaka amechanganyikiwa style ya Mandonga.
 
Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea.....
Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote.

Vijana wa Kiafrika mna la kujifunza.

======

MOSCOW, Sept 14 (Reuters) - The frontline in eastern Ukraine is approaching the borders of territory claimed by the separatist Luhansk People's Republic (LPR), a senior Russian-backed LPR military commander told the TASS news agency on Wednesday.

Russian forces have seized control of the entire LPR - one of two regions that make up Ukraine's eastern Donbas region - since first entering Ukraine on Feb. 24 with a stated aim of wresting the entire Donbas from Kyiv's control.

But a lightning Ukrainian counteroffensive over the last week has driven Russian forces back and is bringing the new frontline closer to the LPR's self-proclaimed borders, commander Andrey Marochko said on Wednesday.

Unatuhabarisha vema lakini punguza ka ushabiki. Be objective and make the story short but focused!
 
Ha ha ha!! MImi na-copy paste kama ilivyo, sema lazima nitangulize tamko langu ili Warusi wa humu JF waliokua wamejawa kejeli kwenye nyuzi zao watie akili, wamenyooka siku hizi naona wamebadilisha lugha wanasema wale ni ndugu hawapaswi kupigana, hii ni baada ya kibao kugeuzwa.

Hata hivyo nitapunguza makali......
 
Kwa namna yoyote ile urusi hii vita ilikuwa ni lazima washindwe kwa sababu walishindwa kuwafafanulia wanajeshi wao neno la operesheni ndogo ya kijeshi.

Kwa sababu tukiangalia historia za operesheni za kijeshi zilowahi kufanywa na nchi nyingine kama Marekani ya kumuua Osama lilikuwa ni swala liloandaliwa kwa muda mrefu lakini operesheni yake ilikuja kufanyika ndani ya dakika chache sana.

hata izraeli ile operesheni yao ya kule Uganda ya kuwakomboa mateka ilichukua dakika chache sana na inamaana ktk ule muda wangezidi kidogo tu inamaana operesheni zao zingeshindikana.

Kwenye karate kuna viwango ukifika ni kosa kupigana na adui zaidi ya sekunde 45.

Na wanasema ukiwa kwenye mapambano ukipoteza hata sekunde moja basi jua umepoteza pointi nyingi sana.
Alikusudia use muda mfupi,kama wiki moja. Sema tu hakufanya study vizuri,kimakosa walidhani Ukraine ni dhaifu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom