Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Kweli kabisa: Vita iishe na wamalizane kisha dhidhi wapare tuhamie huko maana hapa Gonja tuna uhaba wa ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa: Vita iishe na wamalizane kisha dhidhi wapare tuhamie huko maana hapa Gonja tuna uhaba wa ardhi
Mkuu, endeleeni hivyo tu,Wala usipunguze spana,wengi tulipata kabisa msongo wa mawazo pale mabom yalipokuwa yakinyesha kama mvua pale Kyiv wakati urusi akijaribu kuiparamia UkraineHa ha ha!! MImi na-copy paste kama ilivyo, sema lazima nitangulize tamko langu ili Warusi wa humu JF waliokua wamejawa kejeli kwenye nyuzi zao watie akili, wamenyooka siku hizi naona wamebadilisha lugha wanasema wale ni ndugu hawapaswi kupigana, hii ni baada ya kibao kugeuzwa.
Hata hivyo nitapunguza makali......
Anasubiri tarehe hiziAlikusudia use muda mfupi,kama wiki moja. Sema tu hakufanya study vizuri,kimakosa walidhani Ukraine ni dhaifu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
| Winter 2022 | Wednesday, 21 December 2022 | Monday, 20 March 2023 |
Awapige ndani ya week moja kwani anaona Ukraine ni waasi wa m23 wale?Alikusudia use muda mfupi,kama wiki moja. Sema tu hakufanya study vizuri,kimakosa walidhani Ukraine ni dhaifu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
MK254 Please tembelea hapa embassy ya Ukraine upate ujira wako ukiwa kama askari wa akiba mtandaoni tokea Africa Mashariki…Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea.....
Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote.
Vijana wa Kiafrika mna la kujifunza.
======
MOSCOW, Sept 14 (Reuters) - The frontline in eastern Ukraine is approaching the borders of territory claimed by the separatist Luhansk People's Republic (LPR), a senior Russian-backed LPR military commander told the TASS news agency on Wednesday.
Russian forces have seized control of the entire LPR - one of two regions that make up Ukraine's eastern Donbas region - since first entering Ukraine on Feb. 24 with a stated aim of wresting the entire Donbas from Kyiv's control.
But a lightning Ukrainian counteroffensive over the last week has driven Russian forces back and is bringing the new frontline closer to the LPR's self-proclaimed borders, commander Andrey Marochko said on Wednesday.
![]()
New frontline in Ukraine is close to Luhansk separatist 'border' - TASS cites commander
The frontline in eastern Ukraine is approaching the borders of territory claimed by the separatist Luhansk People's Republic (LPR), a senior Russian-backed LPR military commander told the TASS news agency on Wednesday.www.reuters.com