Mbele kwa mbele, shughuli ya wazalendo wa Ukraine inaelekea Luhansk - zege hailali

Mkuu, endeleeni hivyo tu,Wala usipunguze spana,wengi tulipata kabisa msongo wa mawazo pale mabom yalipokuwa yakinyesha kama mvua pale Kyiv wakati urusi akijaribu kuiparamia Ukraine

Ni jambo la kijipongeza sana kuona ukraine anafikia hatua hii

Tena naomba uzidishe moto ikibidi,
 
MK254 Please tembelea hapa embassy ya Ukraine upate ujira wako ukiwa kama askari wa akiba mtandaoni tokea Africa Mashariki…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…