.... mie siwezi amini kama ndio hivyo maisha yana enda....sasa nani mwenye amri kwenye nyumba? watoto na wafanyakazi? kwa hiyo wanafanya wanavyotaka wao? mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....hapo muwe hamna housigelo au housiboi maana nao utakuta baada ya kazi anashindilia tamthilia mpk saa sita usiku na vitoto vingine havilali mpaka viangalie kina Marichuy na Juan Miguel sasa hapo mtafanya nn zaidi ya kusubiri wakati wa kulala
umeongea point sana dark city wa mazimbu morogoro
mimi naoga na mke wangu mara kwa mara na watoto hawawezi kushangaa, mbona hawashangai mkilala pamoja?!!!
.... mie siwezi amini kama ndio hivyo maisha yana enda....sasa nani mwenye amri kwenye nyumba? watoto na wafanyakazi? kwa hiyo wanafanya wanavyotaka wao? mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
watoto na wafanyakazi lazima walale mapema ili waamke mapema....halafu hizi TV ndio zinawafanya watoto wanakosa akili....shauri yenu
Mapenzi ya kweli yenye mipaka mbele ya watoto yanawapa watoto uhakika wa nyumba stable na kuwajenga vema kisaikolojia.Chuki,ugomvi na matengano yanavyowaharibu watoto kisaikolojia.
Hivyo endelea tu kwa mipaka uliyoshauriwa na wengi. Na kama mwanaume anafikiri huko mbeleni atahitaji pesa za watoto wake,huu ndio wakati wakuwapa confidence watoto kuwa watakapokuwa wanakuletea pesa utazitumia kwa mpenzi wako ambaye ni mama yao.
Kweli lakini kuna familia nyingine maisha yanakwenda kiaina aina. Yaani kila mtu ni kambale, ana sharubu. Watoto ni kama kuku wa kienyeji na wanatangatanga kama mbuzi katoliki wa kienyeji. Kinachosikitisha unaweza kukuta wenye familia hiyo wameenda shule na wana kazi zao nzuri tu.Mie nashindwa kushangaa..yani sijui wanawazaa watoto wanini
umeona nawewe eeh? eti wanawadekeza watoto...ndio kuwaharibu na kuwakosesha adabu.....halafu watoto wa hivyo hata akili wanakuwa hawana...Spoilt brats :A S angry:Ila kuna baadhi ya wazazi ambao wanadekeza watoto. Hawataki kuwaudhi na kwa hiyo hawako tayari kuwawekea rules za kufuata. Unaweza kukuta mtoto wa >10yrs anaingia na kutoka master bedroom kama ni bwalo la shule au ukumbe wa muziki! :A S angry::A S angry: