Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 29
.... mie siwezi amini kama ndio hivyo maisha yana enda....sasa nani mwenye amri kwenye nyumba? watoto na wafanyakazi? kwa hiyo wanafanya wanavyotaka wao? mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....hapo muwe hamna housigelo au housiboi maana nao utakuta baada ya kazi anashindilia tamthilia mpk saa sita usiku na vitoto vingine havilali mpaka viangalie kina Marichuy na Juan Miguel sasa hapo mtafanya nn zaidi ya kusubiri wakati wa kulala
watoto na wafanyakazi lazima walale mapema ili waamke mapema....halafu hizi TV ndio zinawafanya watoto wanakosa akili....shauri yenu