Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
eti jamani wakuu nimekuta jukwaa fulani nadhani ni habari na hoja mchanganyiko.kuna mtu amefariki,sasa nimekuta comments mbili tofauti sijaelewa mmoja kapost hivi {mbele yetu nyuma yake} na mwngne {nyuma yake mbele yetu} ni maana zake na lipi ni neno sahih?