mbele yetu au nyuma yake?

mbele yetu au nyuma yake?

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
eti jamani wakuu nimekuta jukwaa fulani nadhani ni habari na hoja mchanganyiko.kuna mtu amefariki,sasa nimekuta comments mbili tofauti sijaelewa mmoja kapost hivi {mbele yetu nyuma yake} na mwngne {nyuma yake mbele yetu} ni maana zake na lipi ni neno sahih?
 
Yote yapo sawa, hiyo ni matter of language,na maneno hayo yote yana maana ileile.
 
Back
Top Bottom