Mbele za Mungu unaweza kushinda na kutangazwa hata bila Tume Huru

Mbele za Mungu unaweza kushinda na kutangazwa hata bila Tume Huru

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Hakuna kubwa mbele za Mungu linalomshinda.

Mungu akiwachoka watu basi hakuna sababu itakayozuwia,akiamua lake hakuna litakaloshindikana.

Raisi wetu Magufuli wengi hatukutarajia kama atakuwa raisi,lakini angalia leo kawa raisi ingawa kulikuwa na vita kubwa huko juu wakati wa kumtafuta mgombea.

Tundu Lissu alipangwa auawe,na kulikuwa na kila sababu ya yeye kufa, zikamiminwa risasi zaidi ya 16 lakini Mungu hakuamua afe jamaa leo anadunda kwa uwezo wa Mungu yule yule.

Hakukuwa na kizuizi cha jamaa kuondoka isipikuwa rehema ya Mungu pekee. Huyu ndio Mungu mkuu.

Halikadhalika Mungu akiamua lake hapa kuna watu watatangazwa na tume hiyo hiyo ambayo sio huru na watakuwa maraisi.
 
Back
Top Bottom