Mgunda eee?Timu ya taifa apewe mzawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgunda eee?Timu ya taifa apewe mzawa
Wachezaji ni hovyo mizigo tu kuleta kocha wa nje akuna maajabu atafanya,tunaacha kuwandaa vijana wadogo tunaleta janjajanja.miafrica ina roho mbaya tuu. timu lenyewe haliendikokote basi tuu watu wanataka kujipigia mihela
Sie hatuna akili....tunawazaga ujinga tuuWachezaji ni hovyo mizigo tu kuleta kocha wa nje akuna maajabu atafanya,tunaacha kuwandaa vijana wadogo tunaleta janjajanja.
tuwaulize wakenya ,kwann walimfukuzaKwa aina ya timu yetu na wachezaji wake, sitegemei maajabu yoyote yale kutoka kwake.
MtajeTimu ya taifa apewe mzawa
Inawezekana ni wazo zuri ila game time Sasa watakuwa wanapata vipi!?na lazima wakionekana wanafanya vizuri watatakiwa na vilabu au wenyewe watataka kwenda kwenye vilabuHivi kwa nini tusingejaribu utaratibu tofauti kama huu. Tutafute wachezaji watakaokuwa full time wa timu ya taifa. Wanapewa mikataba ya muda maalumu kama ya vilabu na wana train muda wote ndani ya timu ya taifa.
Kama sheria za CAF na FIFA zinalazimu wawe na vilabu, basi wanakuwa signed na klabu za hapa nchini ila kwa makubaliano na club hizo kuwa TFF watawalipia mishahara ila kwa kipindi kirefu watakuwa kambini kwenye timu ya taifa.
Mkuu,German walifanyaje?Inawezekana ni wazo zuri ila game time Sasa watakuwa wanapata vipi!?na lazima wakionekana wanafanya vizuri watatakiwa na vilabu au wenyewe watataka kwenda kwenye vilabu
Nadhani tutumie njia waliofanya German kwa kizazi Cha kina Muler
Wazawa wameshawahi pewa, Mkwasa, Julio, Mgunda, Salum Mayanga na hakuna walichofanyaTimu ya taifa apewe mzawa
Ni program itakayohitaji budget ya kutosha. Game time ni suala la kuandaa mechi za kirafiki za kutosha hata na vilabu vikubwa vya ndani na nje ya nchi. Ni rahisi zaidi kupata friendly games na vilabu kuliko timu za taifa. Ni wazi tofauti ila kutoka kwenye huu mkwamo inahitajika mawazo tofauti na tulivyozoea.Inawezekana ni wazo zuri ila game time Sasa watakuwa wanapata vipi!?na lazima wakionekana wanafanya vizuri watatakiwa na vilabu au wenyewe watataka kwenda kwenye vilabu
Nadhani tutumie njia waliofanya German kwa kizazi Cha kina Muler
una maanisha mgunda au?Timu ya taifa apewe mzawa