Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wale wajinga wanakaa wanabetia maisha ya watu wenye familia zao na shughuli zao,inakera sana hii hali.Wanaofurahia ligi madhara hayo
Unafaham eneo la tukio barabara ilivyo ovyo? Barabara nzuri kutokea dar kwenda tunduma imeishia igawa,mpaka mwa njombe na Mbeya,kuanzia hapo na kwendelea Mbeya Ina barabara mbovu,mkoa mzima mpaka wilaya zakeDereva wa bus apasuliwe kende chap.
Ujinga mwingi sana road.
Kitonga Ina barabara nzuri na pana kuliko mlima nyokaMlima Nyoka = Mlima Kitonga = etc
Sehemu hatarishi dereva ana fanya afanyavyo .... inauma sana
Kwa kuwa barabara ni mbovu ni halali ajali kutokea na vifo na mali za watu kuharibika?Unafaham eneo la tukio barabara ilivyo ovyo? Barabara nzuri kutokea dar kwenda tunduma imeishia igawa,mpaka mwa njombe na Mbeya,kuanzia hapo na kwendelea Mbeya Ina barabara mbovu,mkoa mzima mpaka wilaya zake
Na je abiria waliokuwemo hawakuwa na uwezo wa kukemea speed kabla halijatokea hili? Abiria huwa ni chanzo maana huwa hwasemi, abiria wakiwa wakali wakamsema deree huwa anaendesha mwendo salama kabisa nimeshaonaDereva wa bus apasuliwe kende chap.
Ujinga mwingi sana road.
Hua nashangaa kwanini hii kampuni haijafutwa hadi leo.Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma kugongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo.
Picha: ITV Digital
Tahadhari ya mwendesha chombo ndiyo ilitakiwa, ubaya wa barabara haimpi guarantee ya kutofuata sheria barabarani, na hapo lazima kuna chanzo cha ajaliUnafaham eneo la tukio barabara ilivyo ovyo? Barabara nzuri kutokea dar kwenda tunduma imeishia igawa,mpaka mwa njombe na Mbeya,kuanzia hapo na kwendelea Mbeya Ina barabara mbovu,mkoa mzima mpaka wilaya zake
Unafikiri ni rahisi ivo kampuni kufutwa kisa gari moja moja kupata ajali? Kwamba haina vigezo au?Hua nashangaa kwanini hii kampuni haijafutwa hadi leo.
Na serikali yao inawatazama eti wanamwagia gari maji masikini waliokosa ajira na uchawa mwingiWale wajinga wanakaa wanabetia maisha ya watu wenye familia zao na shughuli zao,inakera sana hii hali.