Mbeya: Abiria wanusurika kifo baada ya Basi la New Force kugonga Malori matatu Mlima Nyoka

Mbeya: Abiria wanusurika kifo baada ya Basi la New Force kugonga Malori matatu Mlima Nyoka

Kwa kuwa barabara ni mbovu ni halali ajali kutokea na vifo na mali za watu kuharibika?
Usishabikie ungese jombaa!!
Hakuna anaeshabikia ajali, issue ni kuwa ajali nyingi Hilo eneo na kosa la mamlaka kutoweka barabara pana na yenye viwango,hilo eneo hata uwe na speed ndogo gari inacheza maana barabara ina maponde sana
 
Back
Top Bottom