PreGE2025 MBEYA: Ahamia CCM kutokana na mambo mazuri yalifanywa na chama hiko, ikiwemo ujenzi wa barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?

Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?

Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
View attachment 3286018
😭😭😭
 
Wengine watahama hadi jinsia zao, kazi kweli kweli
 
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?

Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
View attachment 3286018
Ni nani kwani huyo, mmeanza kuokota takataka mtaani na kuzitambulisha, kweli kijani kibichi mmeishiwa
 
Back
Top Bottom