Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
😭😭😭Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?
Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
View attachment 3286018
Ni nani kwani huyo, mmeanza kuokota takataka mtaani na kuzitambulisha, kweli kijani kibichi mmeishiwaWakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?