To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣 Bujibuji Simba NyamaumeAsijekuwa bujibuji maana huko ndo kwao. Huyo mwanaume anatuabisha si angetafuta mwanamke mwingine kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Bujibuji Simba NyamaumeAsijekuwa bujibuji maana huko ndo kwao. Huyo mwanaume anatuabisha si angetafuta mwanamke mwingine kimya kimya
Afadhali umemwita ili tujue kama haja left
Huyu jamaa hawez left kipuuz,ni mwamba sanaAfadhali umemwita ili tujue kama haja left
kujiua ni udhaifu,Kati ya alichokifanya na kumfukuza yapi ni maamuzi ya kiume?
Sina ujinga huo. Mnajiua ili iweje?
Waulize wao mkuuSina ujinga huo. Mnajiua ili iweje?
Naona yupo maana watu wa huko ku left kwa mapenzi hawajamboWaulize wao mkuu
Oa wewe acha uoga 🤣Unakuta kuna lijinga linaoa
Wamekaa kiboya kweliNaona yupo maana watu wa huko ku left kwa mapenzi hawajambo
😂Watu wamechanganyikiwa, wanahitaji sababu tu, walipuke 😅😅
Hao ni mamluki tuuu..wanaharibu taswira ya ndoaNdoa za siku hizi bora kuishi mbali mbali
Hahah si hyo hapo juu nilio mqoute Dejane haikua hivyo nilimtukana marehemu nikajishttukia.... 😆 😆 😆Ipi tena cute wangu?
Mi Lazima niwapondee,ilitakaga kunikuta momHahah si hyo hapo juu nilio mqoute Dejane haikua hivyo nilimtukana marehemu nikajishttukia.... 😆 😆 😆
Mbona jeshi nalo huwa linachukua sheria mkononiJeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa jamii kuachana na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi.
Hatari sana..poleMi Lazima niwapondee,ilitakaga kunikuta mom
Asante sana momHatari sana..pole