Sio kila jambo la kijinga halitoi funzo!!
Ni mhimu kujiuliza ni kwa nini iwe hivi kwa kijana yule!!
Serikali Tambueni, vijana wanahaha mitaani wakiwa na vyeti vyao saafi kabisa!
Wamekaa mitaani kwa matumaini na mwisho wa siku uzalendo unaanza kupotea baada ya kutafuta kazi miezi hata miaka!!
Kijana kafanya makosa na akemewe, ila lisitupe kufikri kama watu wenye uelewa,
Watoeni kazini wote waliostaafu na kurudishwa kazini tena utadhani wasomi ni hao hao, kina kinana out nawengine wengi!
Wapeni mafasi vijana wachape kazi