Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Polisi Mbeya wanamshikilia Warren Mwinuka (20) wa Makondeko Mbeya kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa Mbeya (Juma Homera ) na kutumia Instagram yenye jina la Mkuu huyo kutaka Watu wampe kero zao na kuwatapeli pesa, upelelezi ukikamilika atafikishwa Mahakamani.