Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kazi ya waganga hioBinadamu tunakua katili kadri siku zinavyozidi kwenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya waganga hioBinadamu tunakua katili kadri siku zinavyozidi kwenda!
Na aliwe jicho lake daily.
Khanithi huyo!
Ifike mahali serikali iingilie kati swala la hawa waganga wa kienyeji, watu watazidi kuangamiaKazi ya waganga hio
I beg to differ,Bora kibaka mmoja wa mtaani anayekaba kuriko fisadi lililovaa suti lipo wizarani,linakula Kodi ya Serikali,kwa wizi wake wa pesa ya umma linasabababisha madhara kwa vizazi vinne vijavyo,Waganga uharibu Sana jamii.
Waganga, wachawi,vibaka wezi majambazi awafai kabisa kuwepo kwenye Jamii boss wao ni mmoja shetani.
Majambazi,vibaka, wezi , wachawi wote hawa ufanya uhalifu kwa msaada wa waganga.Ifike mahali serikali iingilie kati swala la hawa waganga wa kienyeji, watu watazidi kuangamia
Wote uleta madhara kwa jamii kwa kiwango chao.Fisadi afungwi kibaka anafungwa.I beg to differ,Bora kibaka mmoja wa mtaani anayekaba kuriko fisadi lililovaa suti lipo wizarani,linakula Kodi ya Serikali,kwa wizi wake wa pesa ya umma linasabababisha madhara kwa vizazi vinne vijavyo,
Ukiharibu maisha ya vijana wa sasa hv kwa kuwanyima Elimu Bora,na ajira,maana yake,watoto wao,wajukuu wote maisha yao ya usoni yanakuwa kwenye Hati Hati.
Waganga uharibu Sana jamii.
Waganga, wachawi,vibaka wezi majambazi awafai kabisa kuwepo kwenye Jamii boss wao ni mmoja shetani.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe.
Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio.
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Zawadi Laizer ametoa hukumu leo Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya mahakama kuridhika kuwa ushahidi wa upande wa Jamhuri haukuacha shaka yoyote.
Ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo April 22 , mwaka 2017 mshtakiwa Wilson alishirikiana kufanya mauaji hayo na wenzake wawili kwa lengo la kupeleka kwa mganga wa kienyeji ili wapate utajiri wa kudumu. Wenzake walioshirikiana nao katika mauaji hayo hawajakatwa.
Hakimu Laizer amesema mahakama imezingatia maelezo ya pande mbili na ushauri wazee wa mahakama kabla ya kufikia uamuzi huo.
Mshtakiwa ambaye alikuwa akiwakilishwa na wakili wa kujitegemea, Hilda Mbele aliiomba mahakama kumpunguzie adhabu.
Hata hivyo, upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili wa Serikali, Davice Msanga aliomba mahakama kutoa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Hakimu Laizer ameeleza mahakama hiyo kuwa mshtakiwa anahukumiwa kunyogwa hadi kufa ili iwe fundisho kwa watu wengine ambao wanatafuta mali kinyume cha utaratibu.
MWANANCHI
Sheria ya kunyongwa haina utendaji ni bora ifutwe tujue moja kwamba ni jera ya maisha kuliko kuwa na sheria hewaMahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe.
Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio.
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Zawadi Laizer ametoa hukumu leo Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya mahakama kuridhika kuwa ushahidi wa upande wa Jamhuri haukuacha shaka yoyote.
Ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo April 22 , mwaka 2017 mshtakiwa Wilson alishirikiana kufanya mauaji hayo na wenzake wawili kwa lengo la kupeleka kwa mganga wa kienyeji ili wapate utajiri wa kudumu. Wenzake walioshirikiana nao katika mauaji hayo hawajakatwa.
Hakimu Laizer amesema mahakama imezingatia maelezo ya pande mbili na ushauri wazee wa mahakama kabla ya kufikia uamuzi huo.
Mshtakiwa ambaye alikuwa akiwakilishwa na wakili wa kujitegemea, Hilda Mbele aliiomba mahakama kumpunguzie adhabu.
Hata hivyo, upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili wa Serikali, Davice Msanga aliomba mahakama kutoa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Hakimu Laizer ameeleza mahakama hiyo kuwa mshtakiwa anahukumiwa kunyogwa hadi kufa ili iwe fundisho kwa watu wengine ambao wanatafuta mali kinyume cha utaratibu.
MWANANCHI
Kibaka ana madhara zaidi maana athari zake ni direct mf. Wanakaba wengine wanaua kabisa ukileta ubishi.I beg to differ,Bora kibaka mmoja wa mtaani anayekaba kuriko fisadi lililovaa suti lipo wizarani,linakula Kodi ya Serikali,kwa wizi wake wa pesa ya umma linasabababisha madhara kwa vizazi vinne vijavyo,
Ukiharibu maisha ya vijana wa sasa hv kwa kuwanyima Elimu Bora,na ajira,maana yake,watoto wao,wajukuu wote maisha yao ya usoni yanakuwa kwenye Hati Hati.
Mimi ndio maana nikiona kibaka/mchawi anapigwa simuonei huruma japo kumrushia jiwe siwezi. Hao watu sio kabisaMajambazi,vibaka, wezi , wachawi wote hawa ufanya uhalifu kwa msaada wa waganga.
Wote hawa wanaharibu Jamii kwa msaada wa waganga.
Ulaya waliwasambaratisha wachawi, waganga na majambazi wote walichezea Sana bullets ndipo wakaendelea.Mimi ndio maana nikiona kibaka/mchawi anapigwa simuonei huruma japo kumrushia jiwe siwezi. Hao watu sio kabisa
Na huku wangewasambaratisha hawa waganga uchwara wakabaki waganga ambao wanatoa tiba za asili kwa wagonjwa tena wawe na leseni. Hii itapunguza utapeliUlaya waliwasambaratisha wachawi, waganga na majambazi wote walichezea Sana bullets ndipo wakaendelea.
Mitaa yenye vibaka na wezi lazima ukute vibanda vya waganga.