Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

Bado kuna watu wana mawazo mgando kwamba mganga atakupa utajiri? Wanaoijiita waganga wengi ni matapeli ,wanacheza na saikolojia ya mteja tu.

2017 huyo mpuuzi aliyeua mke alikuwa na 30 yrs tu,...utajiri huko kwenye ardhi alishindwa kupanda miti akiwa na 20yrs? Adhabu aliyopewa naona ndogo ilitakiwa na yeye anyofolewe korodani na mashine kabla ya kumnyonga.
 
Waganga uharibu Sana jamii.
Waganga, wachawi,vibaka wezi majambazi awafai kabisa kuwepo kwenye Jamii boss wao ni mmoja shetani.
I beg to differ,Bora kibaka mmoja wa mtaani anayekaba kuriko fisadi lililovaa suti lipo wizarani,linakula Kodi ya Serikali,kwa wizi wake wa pesa ya umma linasabababisha madhara kwa vizazi vinne vijavyo,
Ukiharibu maisha ya vijana wa sasa hv kwa kuwanyima Elimu Bora,na ajira,maana yake,watoto wao,wajukuu wote maisha yao ya usoni yanakuwa kwenye Hati Hati.
 
Ifike mahali serikali iingilie kati swala la hawa waganga wa kienyeji, watu watazidi kuangamia
Majambazi,vibaka, wezi , wachawi wote hawa ufanya uhalifu kwa msaada wa waganga.
Wote hawa wanaharibu Jamii kwa msaada wa waganga.
 
Wote uleta madhara kwa jamii kwa kiwango chao.Fisadi afungwi kibaka anafungwa.
 
Waganga uharibu Sana jamii.
Waganga, wachawi,vibaka wezi majambazi awafai kabisa kuwepo kwenye Jamii boss wao ni mmoja shetani.
Sheria ya kunyongwa haina utendaji ni bora ifutwe tujue moja kwamba ni jera ya maisha kuliko kuwa na sheria hewa
 
Kibaka ana madhara zaidi maana athari zake ni direct mf. Wanakaba wengine wanaua kabisa ukileta ubishi.
 
Majambazi,vibaka, wezi , wachawi wote hawa ufanya uhalifu kwa msaada wa waganga.
Wote hawa wanaharibu Jamii kwa msaada wa waganga.
Mimi ndio maana nikiona kibaka/mchawi anapigwa simuonei huruma japo kumrushia jiwe siwezi. Hao watu sio kabisa
 
Mimi ndio maana nikiona kibaka/mchawi anapigwa simuonei huruma japo kumrushia jiwe siwezi. Hao watu sio kabisa
Ulaya waliwasambaratisha wachawi, waganga na majambazi wote walichezea Sana bullets ndipo wakaendelea.
Mitaa yenye vibaka na wezi lazima ukute vibanda vya waganga.
 
Ulaya waliwasambaratisha wachawi, waganga na majambazi wote walichezea Sana bullets ndipo wakaendelea.
Mitaa yenye vibaka na wezi lazima ukute vibanda vya waganga.
Na huku wangewasambaratisha hawa waganga uchwara wakabaki waganga ambao wanatoa tiba za asili kwa wagonjwa tena wawe na leseni. Hii itapunguza utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…