Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

Ni ujinga na upumbavu kuamini mambo ya kishirikina. Hii tabia ya kuamini uchawi ni tabia ya kijinga sana ikomeshwe inavuruga amani katika jamii
Kabisa sema kuna jamii zinaamini hayo mambo sana.
 
Kabisa sema kuna jamii zinaamini hayo mambo sana.
sisi kwenye ukoo wetu tuliamua kukomesha kabisa imani za kishirikina, tunamshangaa sana mwanaukoo anayeamini ushirikina na hatumuungi mkono hoja zake za imani za kulogwa anapozileta kikaoni. Hatutaki mambo ya ramli na kuamini kulogwa
 
Mnataka mlichafue kanisa moja takatifu katoliki la mitume na hizi pumba zenu
 
Huu ni unyama mkubwa sana .hawa waliofanya hivyo wote wanatakiwa kupata adhabu ya kifo.!
 
Mkwajuni siyo Mbeya
Ivuna nayo haiko Mbeya vyote hivyo vipo mkoa wa Songwe baada ya kuumega mkoa wa Mbeya na kutokea mkoa mwingine wa Songwe ,,, Ileje, Mbozi, Momba, na Mkwajuni ni wilaya ambazo zinapatika Songwe.
 
Unaujua uchawi na ubaya wa wachawi wewe..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…