Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wana roho mbaya sana hao watu pana mwaka mmoja nilikua nasambaza Mbolea huko Ileje na Fusso moja hivi ikaharibika maeneo ya Mlowo hapo usiku walikuja jamaa wanasema tuondoke wakija wezi watatuua aisee sema nikikua na idea ya kugusagusa gari nikaangalia fuse box pana fuse ilikua imekata muda huo huo nikaunga waya ikakubali kuwasha Gari ikawaka aisee dereva alivyoamsha tulienda kulala Mpemba pale na ndio kipindi hicho walichokua wanachuna watu ngozi...Tumugoje, tumuleshe?