Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

Tumugoje, tumuleshe?
Wana roho mbaya sana hao watu pana mwaka mmoja nilikua nasambaza Mbolea huko Ileje na Fusso moja hivi ikaharibika maeneo ya Mlowo hapo usiku walikuja jamaa wanasema tuondoke wakija wezi watatuua aisee sema nikikua na idea ya kugusagusa gari nikaangalia fuse box pana fuse ilikua imekata muda huo huo nikaunga waya ikakubali kuwasha Gari ikawaka aisee dereva alivyoamsha tulienda kulala Mpemba pale na ndio kipindi hicho walichokua wanachuna watu ngozi...
 
Ngozi yako saa hizi ingekuwa dukani kwa mtu inamletea pesa
 
Pamoja na kwamba ni taarifa ya 2013 lakini inayo mashiko, ndiyo maana wadau wamechangia comments nyingi tu
 
Jombi alisumbua sana
Alisumbua sana. ila alikamatwa kama kuku baada ya kumpapatikia demu bomba aliyetegeshwa toka kitengo..!! Alikamatiwa pale Savoy bar maeneo ya stereo, mbele kidogo ya Mafyati kama unaelekea mjini kupiti Sangu Sec..!!
 
Safi sanaa, hiyo ndo komesha wachawi, wanasumbua sana raia. Wtu wa Momba hongereni sanaaa
 
Mambo ya ajabu na hovyo sana
 
Masikini mzee wa watu amekufa kifo kigumu 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…