Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Shalom shalom
Nenda moja kwa moja Kwenye mada
Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi kushinda hata Israel yenyewe taifa teule.
Watu wa huku wengi ni wakristo karibu asilimia 99 mchana wako bize sana na mambo ya Mungu na shughuli za ibada zinafanyika muda na siku zote za wiki, na nazani ndo wanaongoza Kwa kusali sana kuliko hata waislamu popote pale walipo.
Lakini jambo linalonistua nikua katika vipindi mbalimbali vya redio ukiacha vya mchana ambazo ni vingi vya dini lakini ikifika usku ukiwa mgeni utashangaa Hawa watu walivyo nauwezo wa kubadilika kama vinyonga.
Mida ya usku karibia redio zote au nyingi lazima kipindi cha mganga wa jadi kiwepo na anapata sapoti kubwa kutoka Kwa wasikilizaji ambao mchana wametoka makanisani kuomba msaada Kwa mganga awasaidie shida zao.
Asilimia kubwa ya waganga ni waukouko mbeya au sumbawanga na wote ni haohao wakristo hakuna mganga kobazi mbeya ni wakutafuta sana.
Sasa Mimi naomba kueleweshwa hawa watu mbona wanafiki sana?
Kwann wanamfanyia Mungu unafiki na mdhaha?
Wao hawamuogopi Mungu?
Au hawajui uchawi na dini aukai sehemu Moja?
Hawa wateule wa Tanzania wanafeli wapi?
Au Mungu atakuja kuwaokoa kama wale wakule middle east?
Nawasilisha